Sefa Verlag
Lala salama, mbwa mwitu mdogo - Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili - Kiingereza) : Kitabu cha watoto cha lugha mbili, na online audiobook na video
Product Code:
9783739920597
ISBN13:
9783739920597
Condition:
New
$16.17
Lala salama, mbwa mwitu mdogo - Sleep Tight, Little Wolf (Kiswahili - Kiingereza) : Kitabu cha watoto cha lugha mbili, na online audiobook na video
$16.17
Kitabu cha picha cha lugha mbili (Kiswahili - Kiingereza), na online audiobook na video Tim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... ? Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! Kitabuni utakuta kiungo cha bure cha audiobook katika lugha zote mbili. ? Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's book, age 2 and up (Swahili - English), with online audio and video Tim can']t fall asleep. His little wolf is missing! Perhaps he forgot it outside? Tim heads out all alone into the night - and unexpectedly encounters some friends ... ? Listen to the story read by native speakers! In the book you'll find a link that gives you free access to online audio and video in both languages. ? With printable coloring pages! A download link in the book gives you free access to the pictures from the story to color in.
| Author: Ulrich Renz |
| Publisher: Sefa Verlag |
| Publication Date: Jun 19, 2024 |
| Number of Pages: NA pages |
| Language: Swahili |
| Binding: Paperback |
| ISBN-10: 3739920599 |
| ISBN-13: 9783739920597 |