Skip to main content

Sale until 1 Feb: Up to 30% off selected books.

Sefa Verlag

Ndoto Yangu Nzuri Sana Kuliko Zote - My Most Beautiful Dream (Kiswahili - Kiingereza) (Swahili Edition)

No reviews yet
Product Code: 9783739945781
ISBN13: 9783739945781
Condition: New
$12.25
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, kwa miaka 2-3 na zaidi (Kiswahili - Kiingereza) Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa - papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ... "Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako?" Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake - na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote. ? Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi. Bilingual children's picture book (Swahili - English) Lulu can't fall asleep. All her cuddly toys are dreaming already - the shark, the elephant, the little mouse, the dragon, the kangaroo, and the lion cub. Even the bear has trouble keeping his eyes open ... "Hey bear, will you take me along into your dream?" Thus begins a journey for Lulu that leads her through the dreams of her cuddly toys - and finally to her own most beautiful dream.

Author: Ulrich Renz
Publisher: Sefa Verlag
Publication Date: Apr 06, 2023
Number of Pages: 34 pages
Language: Swahili
Binding: Paperback
ISBN-10: 3739945788
ISBN-13: 9783739945781

Customer Reviews

This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

Faster Shipping

Delivery in 3-8 days

Easy Returns

14 days returns

Discount upto 30%

Monthly discount on books

Outstanding Customer Service

Support 24 hours a day