East African Educational Publishers
Salamu Kutoka Kuzimu
Product Code:
9789966469298
ISBN13:
9789966469298
Condition:
New
$22.64
Salamu Kutoka Kuzimu
$22.64
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha ... Akikusalimu umekwisha ... Hana mdhaha ...
Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja... "Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti," anasema akichekelea. "Sijawahi kushindwa ..." Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
| Author: Ben Mtobwa |
| Publisher: East African Educational Publishers |
| Publication Date: May 02, 1984 |
| Number of Pages: 138 pages |
| Binding: Paperback or Softback |
| ISBN-10: 996646929X |
| ISBN-13: 9789966469298 |