
East African Educational Publishers
Najisikia Kuua Tena
Product Code:
9789966469533
ISBN13:
9789966469533
Condition:
New
$22.39

Najisikia Kuua Tena
$22.39
"...Inspekta, najisikia kuua tena..." inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani...
Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu...
Author: Ben R. Mtobwa |
Publisher: East African Educational Publishers |
Publication Date: Sep 04, 1985 |
Number of Pages: 114 pages |
Binding: Paperback or Softback |
ISBN-10: 9966469532 |
ISBN-13: 9789966469533 |