Skip to main content

Sale until 1 Feb: Up to 30% off selected books.

Moran Publishers

Mualkemia

No reviews yet
Product Code: 9789966634436
ISBN13: 9789966634436
Condition: New
$30.78
Ndoto huotwa ili ziandamwe. Maisha yanakusudiwa kuishiwa. Baadhi ya vitabu huandikwa ili visomwe, vipendwe na virithiwe na vizazi. Mualkemia ni kitabu kimojawapo cha vitabu kama hivi. Mualkemia ni hadithi ya ndoto ya mvulana mchungaji wa mifugo kutoka eneo la Andalusia, nchini Uhispania. Mvulana huyu anasa ri katika maeneo mengi yakiwemo masoko ya ajabu ya Afrika Kaskazini na baadaye kwenye jangwa nchini Misri. Mualkemia anamsubiri kwenye jangwa hili. Je, ataizimua ndoto yake? 'Vitabu vyake vimekuwa na athari ya kuimarisha maisha kwa mamilioni ya watu' Gazeti la The Times 'Mualkemia' is a Kiswahili Translation of 'The alchemist'; Paulo Coelho's masterpiece which tells the mystical story of Santiago, an Andalusian shepherd boy who yearns to travel in search of a worldly treasure. His quest will lead him to riches far different-and far more satisfying-than he ever imagined. Santiago's journey teaches us about the essential wisdom of listening to our hearts, recognizing opportunity and learning to read the omens strewn along life's path, and, most importantly, following our dreams.

Author: Paulo Coelho
Publisher: Moran Publishers
Publication Date: Jun 24, 2023
Number of Pages: NA pages
Language: Swahili
Binding: Paperback
ISBN-10: 9966634436
ISBN-13: 9789966634436

Customer Reviews

This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

Faster Shipping

Delivery in 3-8 days

Easy Returns

14 days returns

Discount upto 30%

Monthly discount on books

Outstanding Customer Service

Support 24 hours a day