Skip to main content

5 Ways to Become a Woman with Visions & Hopes : Swahili Edition

No reviews yet
Product Code: 9789976524703
ISBN13: 9789976524703
Condition: New
$11.99

5 Ways to Become a Woman with Visions & Hopes : Swahili Edition

$11.99
 
Je umekata tamaa na huoni thamani yako kama mwanamke? Je kila unachofanya kinashindikana? Kitabu hiki ni maalumu na muhimu kwa mabinti na wanawake wote kwa ujumla. Kama binti na mwanamke, kitakusaidia -Kutambua kusudi la wewe kuwepo hapa duniani -Kutambua wajibu na haki zako -Jinsi ya kuwa mwanamke mwenye furaha, amani na matumaini wakati wote -Utajifunza vitu gani vya kufanya, ili uweze kuwa mwanamke mwenye kupendwa na mama bora kwa familia. Kitabu hiki kitabadilisha maisha yako kama mwanamke, utakuwa mwanamke mwenye kujiamini, kujipenda, kujithamini, na mwenye kufanikiwa katika maisha yako.


Author: Jacinta J B
Publisher: Yasinta John
Publication Date: Dec 24, 2017
Number of Pages: NA pages
Language: Swahili
Binding: Paperback
ISBN-10: 9976524706
ISBN-13: 9789976524703
 

Customer Reviews

This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

Faster Shipping

Delivery in 3-8 days

Easy Returns

14 days returns

Discount upto 30%

Monthly discount on books

Outstanding Customer Service

Support 24 hours a day