Bwana Okoa Ndoa Yangu kimejaa mafunuo ya ki-ungu kuponya na kurejesha ndoa yako iliyojeruhiwa na ibilisi na mawakala wake. Utawajua maadui halisi wa ndoa yako na namna ya kupambana nao. Bwana Okoa Ndoa Yangu kitakujulisha walinzi wa ndoa yako na namna ya kuwatumia kufanya marejesho ya ndoa yako. KARIBU SANA
Author: Charles Nakembetwa Shamsulla |
Publisher: Charles Nakembetwa Shamsulla |
Publication Date: Nov 03, 2016 |
Number of Pages: NA pages |
Language: Swahili |
Binding: Paperback |
ISBN-10: 9976997604 |
ISBN-13: 9789976997606 |