
Urim Books USA
Roho, Nafsi, na Mwili: 1(Swahili Edition): 1(
Product Code:
9791126312283
ISBN13:
9791126312283
Condition:
New
$14.24

Roho, Nafsi, na Mwili: 1(Swahili Edition): 1(
$14.24
Katika kitabu chake The Art of War Sun Tzu anasema kwamba ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako, hutashindwa vita vyovyote. Mahubiri yanayohusu,"Roho, Nafsi, na Mwili" yanatuangazia kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'ubinafsi' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu kwelikweli, tutaweza pia kumwelewa mtu wa aina yoyote . Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza, ambazo zimekuwa zikituathiri, ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi.
Author: Jaerock Lee |
Publisher: Urim Books USA |
Publication Date: 45218 |
Number of Pages: 258 pages |
Binding: Religion |
ISBN-10: |
ISBN-13: 9791126312283 |