Skip to main content

Urim Books USA

MBINGUNI I(Swahili Edition)

No reviews yet
Product Code: 9791126312276
ISBN13: 9791126312276
Condition: New
$14.24

MBINGUNI I(Swahili Edition)

$14.24
 
Kwa upande mwingine, jehanamu imejaa uchungu usiokuwa na mwisho, na adhabu ya milele; uhalisia wake wa kutisha umeelezwa kwa kina katika kitabu kiitwacho Jehanamu. Mbinguni na jehanamu kulikuja kujulikana kupitia kwa Yesu na Mitume, na hata leo, sehemu hizo zimeonyeshwa kwa kina kupitia kwa watu wa Mungu walio na imani ya kweli kwake.

Mbingu ni mahali ambapo wana wa Mungu hufurahia uzima wa milele, na mambo mazuri sana yasiyoweza kufikirika yameandaliwa kwa ajili yao. Kwa hiyo unaweza kuifahamu mbingu vizuri pale tu Mungu anaporuhusu na kukuonyesha.





Author: Jaerock Lee
Publisher: Urim Books USA
Publication Date: 45218
Number of Pages: 226 pages
Binding: Religion
ISBN-10:
ISBN-13: 9791126312276
 

Customer Reviews

This product hasn't received any reviews yet. Be the first to review this product!

Faster Shipping

Delivery in 3-8 days

Easy Returns

14 days returns

Discount upto 30%

Monthly discount on books

Outstanding Customer Service

Support 24 hours a day