
Urim Books USA
MBINGUNI II(Swahili Edition)
Product Code:
9791126312559
ISBN13:
9791126312559
Condition:
New
$14.24

MBINGUNI II(Swahili Edition)
$14.24
Mji wa Yerusalemu Mpya, uliojengwa kwa upendo usiopimika na nguvu za Mungu za ajabu, umejaa utukufu wake. Katika Yerusalemu Mpya kuna mkutano wa kiroho ambao kupitia huo Mungu alijiumba katika Utatu ili aweze kutekeleza uimarishaji wa mwanadamu, na kiti cha enzi cha Mungu. Hebu fikiria jinsi mahali hapo pote pangalivyokuwa pa kifahari, pazuri na pag'aapo? Ni mahali pa ajabu na patakatifu hivi kwamba hakuna hekima ya mwanadamu inayoweza kuelewa!
Author: Jaerock Lee |
Publisher: Urim Books USA |
Publication Date: 45342 |
Number of Pages: 238 pages |
Binding: Religion |
ISBN-10: |
ISBN-13: 9791126312559 |